Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Ujambo mdogo wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]violence
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ujambo mdogo wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]violence
Poa tajir wangu ujamboHahaha tumeamka vyema vipi wewe Boss .
Tupo salama kabisa,tunazidi chochea vitambi vyetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] ww mwili huo portable Uwe na kitambi kweliTupo salama kabisa,tunazidi chochea vitambi vyetu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Jua kali 🤣🤣 yan ni jua tu linawaka na baridi inapigaJua la aina gani em fafanua didi ake😁
Maana najua huko hali ya hewa baridi, kama jua la kwenye pochi ma😷 si yupo
salama mkuu ndo tunavimwagilia sasa hivi🥰🥰
Yuko wapi??? Sijamuonaa mamdooo!!Umemuona Junia?
Boss hata ww una kitambisalama mkuu ndo tunavimwagilia sasa hivi[emoji3059][emoji3059]
Hahahaa kumbe jua hiloJua kali 🤣🤣 yan ni jua tu linawaka na baridi inapiga
Nina utajiri gani ?
Ahhh haya bana mm mzma tuNina utajiri gani ?
Kapuku wa mwisho mie
Nipo poa na wewe
Ooh vyema rafiki
😅😅😅😅 watazoea tu[emoji1787][emoji2772][emoji2772]View attachment 2298423
Unaiita rafiki unataka uninyime nn ww bintiOoh vyema rafiki
eeh mkuu tena mtwepeto 😅😅😅😅😅😅
Sikunyimi kitu
Khaaa embu tupia kapicha nione maana sshv wanawake wenye vitambi ndyo ugonjwa wangueeh mkuu tena mtwepeto [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]