David Katatanama
New Member
- Jul 19, 2022
- 3
- 4
toleo jipya tu
[emoji1787]Hili Toleo jipya au ujio upya kivingine???.
Naona joined yesterday;!
Hahaha nimechekaUpo innocent kufanya matusi
Navyokuona kama NUN hivi
Ila jamaa atakuwa anafaidi
😆😆😆😆😆😆! Noma sana hio mkuu hizi new ids sio kabisa!!![emoji1787]
😂 😂Hahaha nimecheka
Nina kasura kaupole yaani
Nyumbani wanajua sina mtu na sijaanza bado
Kutwa kuniuliza [emoji23].
Kawaida wote tunaenjoy yani [emoji1787][emoji1787]
Ah naenda kukusemea / kuwatonyaHahaha nimecheka
Nina kasura kaupole yaani
Nyumbani wanajua sina mtu na sijaanza bado
Kutwa kuniuliza [emoji23].
Kawaida wote tunaenjoy yani [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23] jirani eeh[emoji23] [emoji23]
Nilisoma hii comment kwenye healthbreak[emoji16][emoji16] self services za nini na hii baridi?? Hazifai
Daka kibus chap nenda alipo
Kakamuliwe mkamuo utakaokufanya u survive week bila shida
Hahaha wataamini kweliAh naenda kukusemea / kuwatonya
Jirani kuna comments humu unajikuta unacheka mwenyewe...tunaongeza furaha na maisha.[emoji23][emoji23] jirani eeh
Acha tucheke tu , maisha ndo haya hayaJirani kuna comments humu unajikuta unacheka mwenyewe...tunaongeza furaha na maisha.
Safii sana.Acha tucheke tu , maisha ndo haya haya
Binafsi napenda kutabasamu sana na kucheka
Mimi kuna vitu mama angu akisikia, ni atanitetea hadi kukuche 😁Hahaha wataamini kweli
Mie nawachora tu ,mwenzao nimezama kumbe [emoji1787]
Hiyo nyingine nitakutumia pm boss wanguUsinidanganye..umeziba mpaka kidevu 🥴😁😁
Emu tuone ilivyotetemeka
Ana Siku mbili hajaonekana kabisa humu! Last seen yake juzii!!Leo nimekuja kusubiria selfie ya Antonnia .
Kama mayele wa manzese..Emu tuone ilivyotetemeka