Kabisa na achukulie poa tuAelewe tu jamani na kusamehe pia
Kabisa na achukulie poa tuAelewe tu jamani na kusamehe pia
KabsaAlways
He is a powerful God
Kukimbia sasa!! Kuna nyumbu ziko speed sijawahi ona!!Hahha usiwaze atakuwekea tu Mr. Vocha hapa
Hana shida
🤣🤣🤣Kukimbia sasa!! Kuna nyumbu ziko speed sijawahi ona!!
Nimesharusha kibao sana nikiwa naked zipo huko juu Tinsley anajuaToa kwanza barakoa tukuone vizuri ndio tufananishe si unaona kamanda Ntiluseswa avojiachia lakini!!
HakikaKabisa na achukulie poa tu
Ah wapo vizuri inabidi uwe sharp na simu mbiliKukimbia sasa!! Kuna nyumbu ziko speed sijawahi ona!!
Ahsante aunt Lizzy hii ni kabla ya lunch lkn usinambie ndo ilikua breakfast
Huo muda wa kuscrow up kuzitafuta mpaka kupata page zilipo si bora unakua ushaweka hapa dakika moja tu naweeNimesharusha kibao sana nikiwa naked zipo huko juu Tinsley anajua
Thubutuumihogo mitamu jaman.
Mie na ka tekno kangu kamoja hadi nikopi pembeni kwenye karatasi😆 ile ya copy and paste kimeo changu kishanikataliaga mara kibao!Ah wapo vizuri inabidi uwe sharp na simu mbili
Hiyo kazi anaiweza Mideko usipate tabu we mwambie unataka post ya mwaka gani chap anaileta hapa😅Huo muda wa kuscrow up kuzitafuta mpaka kupata page zilipo si bora unakua ushaweka hapa dakika moja tu nawee
Nipe namba zakeKuna binti mmoja ofisi flani zikianzan hizo stori za michakato' kila dakika anaenda washroom, mpaka unamuonea huruma...
Kila jambo na wakati.
Nitakutumia pm sasa hivi traffic ni kubwa sana hapa yaani huwezi amini 😅😅Nitumie tena nizione![]()
Wazee wa fursa😅😅Nipe namba zake
Ooh pole ile huwa ipo fasta mnoMie na ka tekno kangu kamoja hadi nikopi pembeni kwenye karatasiile ya copy and paste kimeo changu kishanikataliaga mara kibao!