Hapo sawa auntNdo namalizia kula...so labda tuiite brunch 🙂
Enjoy your branch
Hapo sawa auntNdo namalizia kula...so labda tuiite brunch 🙂
Hakika
Hatoibiwa humu .. shaka aondoe
Sema nene lazima achunge mzigo wake !! Ila asijali sie twataka vocha tu kwa kaka etuHakika
Hatoibiwa humu .. shaka aondoe
Utume kweliNitakutumia pm sasa hivi traffic ni kubwa sana hapa yaani huwezi amini![]()

Wivu haukosekani kweliSema nene lazima achunge mzigo wake !! Ila asijali sie twataka vocha tu kwa kaka etu
This is 🍎 🤣 lazima ikataeMie na ka tekno kangu kamoja hadi nikopi pembeni kwenye karatasi😆 ile ya copy and paste kimeo changu kishanikataliaga mara kibao!
Na sisi wengine tutaonea wapi???Nitakutumia pm sasa hivi traffic ni kubwa sana hapa yaani huwezi amini 😅😅
Umewahi kuyaishi hayaself services za nini na hii baridi?? Hazifai
Daka kibus chap nenda alipo
Kakamuliwe mkamuo utakaokufanya u survive week bila shida

Ndio MkuuHata wewe![]()
Wewe picha zangu unazo kibao na wewe unahitaji?Na sisi wengine tutaonea wapi???
Wewe picha zangu unazo kibao na wewe unahitaji?Na sisi wengine tutaonea wapi???
Sana!!!! Nitumie basi 😌😌Wewe picha zangu unazo kibao na wewe unahitaji?
Usitoke napost hapa live kama zile za kwako naziba pua tuuu,Sana!!!! Nitumie basi 😌😌
Thubutuu
Kiporo cha wali na maharagwe
Usilinganishe na huo utopolo asee





chizi weeUpo innocent kufanya matusiNdio Mkuu
Hivi sifananii eeh ?
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
Nani kamficha Bosi ledi wetu wee mwanamke!!chizi wee
Nisitoke mpaka saa ngapi???Usitoke napost hapa live kama zile za kwako naziba pua tuuu,
narudia, naziba pua tuuu😅😅
Hili Toleo jipya au ujio mpya kivingine???.