Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Tutajuta mbona, wenye sura na maumbo ya mjomba😅😅Bado mwenye kidoti nae aje na meme yake!😚
Hatujakaa sawa mwenye mwanya nae anatupa !!!😚
Tutajuta mbona, wenye sura na maumbo ya mjomba😅😅Bado mwenye kidoti nae aje na meme yake!😚
Hatujakaa sawa mwenye mwanya nae anatupa !!!😚
Pepo tokaHaya mpare mwenye pesa zake mjini hapa .
Una vidole vizuri ila vimezoea kushika hela
Jirani amekuwa mchokozi...ila unamzidi vingine😁😁Jirani ni majonzi, tunafananishwa na samaki
Kikubwa uhai bana😅Nyieee samaki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣Jirani amekuwa mchokozi...ila unamzidi vingine😁😁
Mjomba ana nafuu maumbo ya simba 😚😚😁😆😆😆!!Tutajuta mbona, wenye sura na maumbo ya mjomba😅😅
He!! Hujui kuna Kambale wana dimples 🤣🤣 na ndevuNyieee samaki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Pisi kali huyu anajijua ndio maana anaringa
Walivo wabahili hao watu !!!!!!😏Haya mpare mwenye pesa zake mjini hapa .
Simba jaman amejaa juu🤣🤣🤣🤣Mjomba ana nafuu maumbo ya simba 😚😚😁😆😆😆!!
Basi ndo maana , pole siyo hela ndogo hiyo .Huwezi amini nilikuwa natoa pesa ndefu kidogo siunajua lazima utoe kwa mafungu mafungu niliacha laki 3 pale na Kadi kwenye atm
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Taja namba yako nikutumieMmenionea kaka Mjep huko? Mkimuona mwambieni nimeacha Shikamoo yake hapa na mb zimekatika za kubip tu naomba anisaidie Bando!
Si ulivotutolea mahesabu ya hio Bank yenu ya aika mbeKwanini yan unasema hivi?
Hahha
Poa Ely
Acha tu...Simba jaman amejaa juu🤣🤣🤣🤣
Em punguza sauti dyadya, matani ya kweli haya ujue🤣
Wabahili ile mbayaWalivo wabahili hao watu !!!!!!😏