Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Coet, conas, coaf, school of law, koteee sura za baba yaani pisi ni za kuhesabu,,na hzo zikienda cohu zinaonekana za mwisho

Wale wanaosoma political science, sijui external affairs,, udbs, cohu, ndo kuna pisi,,, nyie wa kozi ngumu hakuna pisi
[emoji23][emoji23]

Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jinga wee tokaa hapa, na kuogopa mnaogopaa.
Wahandisi hoyeeee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jinga wee tokaa hapa, na kuogopa mnaogopaa.
Wahandisi hoyeeee.
Siwez date mdada anayesuka nywele kama mwanafunzi wa jangwani,,,,, una date na pisi ya coet hat kuitambulisha kwa wahuni unaona jau[emoji23][emoji23]

Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
 
Siwez date mdada anayesuka nywele kama mwanafunzi wa jangwani,,,,, una date na pisi ya coet hat kuitambulisha kwa wahuni unaona jau[emoji23][emoji23]

Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usemage tyuuh huwawezi, viwango huna,
Dent wa COET mchezooo, tunawezana wenyewee, mtuacheeee.
 
Back
Top Bottom