Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,890
- 147,486
Karibu sanaDidii ake, nakuja kula cake [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Kwa hisani[emoji3059]
Karibu sanaDidii ake, nakuja kula cake [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hauko serious, yaan UDSM hii ibebwe na TCU? au unasema UDOM? Hebu huko naweee,Sema sshv ndyo mmebebwa tu na TCU Zaman wasomi kweli kweli UD Ila pisi kali zilikuwa huko college Hongereni bana pisi za UD zinamsemo wao UKIDATE NA pisi ya UD lazima Uwe na gari
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Wooow hadi mate yamenidondokaaaa hapa, daaah tamuuuuu.
😅😅😅😅 siku hizi uzuri unategemea na simu unayotumiaIla mmegundua watu wanapenda Sana weupe mnoo...mkipiga picha utaskia weka filtaaa,Mimi Sasa nilivyo ndo hvyo hvyo kwanza snaap waliweka mabinti zangu miye najioneaga tabu.
Unaambiwa siku hizi natural iachie misitu,mwanamke weupee
Dahh haya bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Hauko serious, yaan UDSM hii ibebwe na TCU? au unasema UDOM? Hebu huko naweee,
Wengi wao dents wanapenda kusoma UDSM, ila points zinawaangushaa.
Pisi za UD ni kareee, smart, genius, afu classic .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera [emoji119][emoji119][emoji119][emoji39][emoji39][emoji39]
SUA je 😅😅😅😅?Pisi ya UD 1 yr inakuja na tranka Ila kiboko ya yote zoazoa UDOM huko ni mwisho wa dunia hakika kile ni chuo cha kata
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
😁😁 fainali uzeeniMbagala rangi 3 ,ngozi inafubaaa anatishaa
Kiko poa, wakulima wale wako vyedi 🤣SUA je 😅😅😅😅?
I wish nisikie jambo
😅😅😅 kali kwakweli unaeza tamani urudi home ukasomeeeeee ni fayaa😅😅😅😅😅😅😅Hauko serious, yaan UDSM hii ibebwe na TCU? au unasema UDOM? Hebu huko naweee,
Wengi wao dents wanapenda kusoma UDSM, ila points zinawaangushaa.
Pisi za UD ni kareee, smart, genius, afu classic .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitak kuongea sana kuhusu SUA mdomo koma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mtu aliripoti SUA na beseniSUA je [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]?
I wish nisikie jambo
nimesoma pale, hamna pisiKiko poa, wakulima wale wako vyedi 🤣
Kwa hisani ya watu wa Marekani
Huko hakuna pisi kali nisikudanganye kbsa pisi za kuhesabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SUA je [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]?
I wish nisikie jambo
Kwan uongooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dahh haya bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko wanakua km wanafunzi wa form 1.SUA je [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]?
I wish nisikie jambo
Na huyu si mwingine ila ni Pau Baenimesoma pale, hamna pisi
class kwetu pisi kali yaan kareee ilikua n moja tu. Dada mweupee and vere classic/smart 😅😅😅😅😅 yaan akikuatiza infront of yu, unaeza gaman mbingu ipasuke uingie
😅😅😅😅😅 Afu SUA ukichunguza sana watu wakigoma na mbeya ni wengi mnoSitak kuongea sana kuhusu SUA mdomo koma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mtu aliripoti SUA na beseni
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Kweli bana Sema nn watoto wa UD mkifunga chuo mrudi mikoani kwenu basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Kwan uongooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]