Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Antonnia njoo ujibu swali la braza hapa chap mimi najua nimemwagwa kumbe bado mambo yanaweza kuwa mambo?

Chief unakata kuharibu niikose pisi yangu Alayna wewe au unaona wivuu[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahyo Ile mutoto mzuri Lovelovie umeshapiga chini

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Kaniboa sana Jana nimejilia zangu free Internet la TTCL kumbe Kuna kijana wa hovyo kaenda kuchomoa betri

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ukiona hvyo yeye aliunga Cha mwezi Hana access nyie 'unga unga mwana'mnainjoi tu,habari hampati,yeye nafsi inamchoma hanufaiki nao,kachoma ili mkose wote
 
Kuna binti tulisoma o level naye alikuwa cheus mangara tiiiii huyo kafika chuo tu kawa nick Minaj

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ila mmegundua watu wanapenda Sana weupe mnoo...mkipiga picha utaskia weka filtaaa,Mimi Sasa nilivyo ndo hvyo hvyo kwanza snaap waliweka mabinti zangu miye najioneaga tabu.
Unaambiwa siku hizi natural iachie misitu,mwanamke weupee
 
Sasa UD si ndyo pisi zenyewe zipo hapo Zaman pisi zilikuwa CBE, IFM
Baada ya TCU kufanya mambo Yao yani CBE, IFM unakuta paka pisi inatoka namtumbo huko

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Iheshimu UD tafadhari?? Hiki ni chuo, sio taasisi ya Elimu ya juu. Ukiiongelea UD, Inatakiwa utoe heshima na pongezi.

Pisi za UD ni karee, afu classic. Mie muongo???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ebooo watoto wa UD jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Ila mmegundua watu wanapenda Sana weupe mnoo...mkipiga picha utaskia weka filtaaa,Mimi Sasa nilivyo ndo hvyo hvyo kwanza snaap waliweka mabinti zangu miye najioneaga tabu.
Unaambiwa siku hizi natural iachie misitu,mwanamke weupee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] filter na snap ndo walaaah.
Mie napenda Photoshoot.
 
Ebooo watoto wa UD jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sasa IFM na CBE ufananishe na UD? Serious??
Hebu usitushushe hivyooo, tulishavuka zamani huko.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila mmegundua watu wanapenda Sana weupe mnoo...mkipiga picha utaskia weka filtaaa,Mimi Sasa nilivyo ndo hvyo hvyo kwanza snaap waliweka mabinti zangu miye najioneaga tabu.
Unaambiwa siku hizi natural iachie misitu,mwanamke weupee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila mkorogo ukidunda ndyo jau sasa

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Iheshimu UD tafadhari?? Hiki ni chuo, sio taasisi ya Elimu ya juu. Ukiiongelea UD, Inatakiwa utoe heshima na pongezi.

Pisi za UD ni karee, afu classic. Mie muongo???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Za kawaida tu bwana...!!watu wa UD jamani[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Sasa IFM na CBE ufananishe na UD? Serious??
Hebu usitushushe hivyooo, tulishavuka zamani huko.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema sshv ndyo mmebebwa tu na TCU Zaman wasomi kweli kweli UD Ila pisi kali zilikuwa huko college Hongereni bana pisi za UD zinamsemo wao UKIDATE NA pisi ya UD lazima Uwe na gari

Back
Top Bottom