Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hawoo
20220719_094539.jpg
 
[emoji16][emoji16]pole Ila wengi sa hv wameuza uza wanabai wabishi tu kule wanaokomaa na jiji
Ila dar Kila Kona kuna uswahilini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] life la Temekeee tamuuu. Acha kabisaa.
Kule ndo kunanifaa mie.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani wewe umenichekesha
Unaanzaje kuwa na amani labda[emoji23]
Masaki hapana kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee Amani haiwezi kua, hadi unajiuliza watu hawa pesa wanatafuta au wanazoa. Khaaaah
 
Back
Top Bottom