Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata sikujua mwenzio mbona wangenimalza kwa kichambo uwiiih!
Huko nilikua nakoment mambo ya 23% kumbe nilikua sijatoka nikatupia najua nipo selfika walai 🙆🙆leo kweli nilivurugwa kidogo Mdogo wangu ila thanks God now im ok!!

Ubarikiwe sana dear
😁😁😁 watu wa JF walivyojaa stress, wangekuchambua mpk kona ambayo hukupaka mafuta 🤣

Pole ..
 
Hahahaa kumetokea nini kwani huko mtaa wa 7😂

Siku si ukosee utume muamala🤣🤣
Alijipost uzi gani huko habari na hoja mchanganyiko,, kama mm mchana ile picha kuna mtu wa branch alinambia msalimia sis flani,, sasa mm ndio nikamzoom nikampiga picha nimtumie,, ndio ikatokea picha ikaja kwako 😂😂
 
FB_IMG_1658169446966.jpg
 
Back
Top Bottom