Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahh siwez yani wana bahat dingi angu shemasi tu kanisan wangenisikia tu Ila siyo Muda nawavutia pumzi tu

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hahha kumbe usiniambie shemasi Mkuu
Vipi makambi huko tayari ?

Jitahidi uende usali ushauri unatoka kwa binti anayefika kanisani saa tano kasoro... wakati wa matangazo ya kanisa .
 
Hahha kumbe usiniambie shemasi Mkuu
Vipi makambi huko tayari ?

Jitahidi uende usali ushauri unatoka kwa binti anayefika kanisani saa tano kasoro... wakati wa matangazo ya kanisa .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman kanisani unaenda saa tano akiii ww binti ww [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom