Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Landed safely. Thanks[emoji120]Safe flight mkuu
Ndio wapi TEMESA?Km TEMESA kigamboni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhh[emoji849]Ndo penyewew hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa Mjomba!Namalizia chai shangazi nitupie kitu 😄😄
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8], nipo singo eti dear.Hahahaha aisee
Ila wewe sio single bhana .. ulivyo hivyo mtoto mrembo, cheupe , glowing skin portable ile mbaya .
Nipo poa pia
Basis mambo yente yente,Kuna Ile, ni mnakuwa wapenzi, marafiki, washakaji, wana, masela na hata business partner Kwa wakati mmoja, watu wa hivi utakuta wameachana ila still wapo pamoja na furaha na amani kama zote..
Acha kumfatilia X wako 🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Very rare [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wabongo unaachwa huachikii, kutwa kumfatilia X wako anakwendaje na mambo yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaaaa ila kuna kautamu kakua singo hiviii.Naelewa shos
Lonely nights tu mwenyewe .. no morning text or goodnight text .
Upo tu mwenyewe na kasimu kako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mic u shougaaaa angu!!!Hahahhahahahha... nahisi wewe unaelewa hilo shoss...unajiuliza hupati majibu yani unabaki tu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ni changamoto sana!
Mmmmh hapana.Kabisaaaa ila kuna kautamu kakua singo hiviii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpost nikupe buku
😍[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8], nipo singo eti dear.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tena si una wachumba humu, wa 3 tena unabadilisha tyuuh. Naogopa kurogwaaa eti?Wee....
Kwa hiyo umeshanimwaga??
Miss you more shoss!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mic u shougaaaa angu!!!