Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimeshindwa mie, tuachane na hayo
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hamna mtu wangu wa nguvu.. nilikuwa nataka tu kukuchanganya SI unajua wakati mwingine nakuja hapa kutua stress zangu .. nakuwa opposite na Kila jambo.. kuachana SI jambo zuri napenda watu wakianzisha kitu Hadi wazikane..
 
Basi nilikuwa namchangamsha cocastic mtu wangu wa nguvu.. Sipendi kabisa watu waachane na Huwa naumia sana kuona watu wana achana.. Huwa napatwa sana na huzuni kuachana SI jambo zuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuachana kupo, ila ninapochoka watu wana achana afu wanakua na ukaribu km mwanzo, sijawahi elewa.
 
[emoji23][emoji23]
Acha tukeshe tu sie single ladies

Vipi dear mzima ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mito yangu 4, naikumbatia hadi inashindwa kusema tumechoka tafuta binadamu mwenzio.

U singoo huu, mie mzima dear vipi wee [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…