cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,069
Ndyooooo unisaidie kusema, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shoss Mie hapa ama??
Nakutupia mzigo wako love!! sasahivi
Ndyooooo unisaidie kusema, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shoss Mie hapa ama??
Nakutupia mzigo wako love!! sasahivi
Basi zinazingua 🙄🙄🙄Hela may be huzioni ila sisi tunaziona [emoji41].
Daah...mtandao wansumbua mnooo!!Barikiwa nahio reymage Heaven Sent
Hapo sawaaah,Hii kaja nayo hana hata wiki shoss weee Ngoja kwanza amalize mwezi wengine huwa wanachachuka hata wiki mbili haziishi!!
Daah...mtandao wansumbua mnooo!!Barikiwa nahio reymage Heaven Sent
Zimekuaaa bhanaa.Naona hazikui
Zimeganda palepale.
Ngoja labda hivi vibutu vitanisaidia kukuza.
Me nilijipa shughuli nyingine hapa had muda wa jua kali ukanipita.Juakali ee 😂🤣
Nina feelings bana
Hello babe!
Aaah babe umekula 😂😂
Aah didi niko siteeeeee
[emoji16][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526] Ahsante Sanaa!!!Ila unene unakuja na tumbooo balaaa!!!Please don’t hate yourself. You can still make yourself happy[emoji41]
Bado ipo mbona naifuta SaiviDaah...mtandao wansumbua mnooo!!
Sijui ishapitaa
Ahsante pia kujali[emoji177][emoji7][emoji7][emoji3059][emoji3059]
Umemalizaaaaaaaah shougaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipange shoss angu nipange nikusaidie kusema usiwaze ...mie teina wanijua sinaga mbambambaa kabisa shosss
Hakuna kama mr vocha weeeweeeehh[emoji118][emoji118]!![emoji2960][emoji2960]
Yaaan mie niko kuiba mistariii🤣🤣Hii combo ya Anna na Diba itatuwehusha. Nasmile mwenyewe kama mwehu
Poaaaaah cuzooooh, mic u. [emoji8][emoji8][emoji8]Cg
mtoto wa shangaz mambo vp
Unajikuta wewe ndiyo Anna sasaYaaan mie niko kuiba mistariii🤣🤣
Baki hapo nikuoneshe kitu shos angu!!Umemalizaaaaaaaah shougaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahJamani ilo sio la kuniomba[emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ngoja niende site didi nitakupigiaaaMe nilijipa shughuli nyingine hapa had muda wa jua kali ukanipita.
Nimepitwa dooh
Didi ake utoe kitu cha ghorofa huko site, usilete mchezo ohoo 😂😂