Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Sikujua hiliUtafiti kbsa ila kwa wanaume tu kwa wanawake sijajua
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Acha tunywe tu sie maana ni zuri sana na dawa
Sikujua hiliUtafiti kbsa ila kwa wanaume tu kwa wanawake sijajua
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Asante sana usiku mwema boss Tinsley ubarikiwe sana nimejifunza mengi sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Haha sasa wewe ungekuwa na bebi angekubembeleza ila umeamua kuwa single .
Pole rafiki ..
Wanawake piaSikujua hili
Acha tunywe tu sie maana ni zuri sana na dawa
Goodnight rafikiAsante sana usiku mwema boss Tinsley ubarikiwe sana nimejifunza mengi sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ah kumbeWanawake pia
Wanapata busha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee cuzooo ko utampiga risasi??Afu uyo boyfriend ako ambaye ata shangaz hamfaham mwambie nmetoka mafunzo tayal ajiandae kubeba aridh
Mnooooooh.Mkoa mzuri sana ule
Naenjoy sana nikienda pale
Vyakula tele
Unataka kweli[emoji848]Ah kumbe
Tena toka juzi nalitafuta [emoji23]
Yeah nalitakaUnataka kweli[emoji848]
Napekua dikshenariYeah nalitaka
Nilikuwa busy so sijawaona wanaouza wale
Kwani lina ubaya , naitumia kama dawa .
Haha hata kiswahili fresh tuNapekua dikshenari
Nikipata neno la kizungu
Nakuandikia
Hapo ndio utanielewa
Unaangalia harusi[emoji848]Haha hata kiswahili fresh tu
Nasubiri
Maisha hayana usawa, Chuma Kama hii eti nayo Kuna mtu anaiacha. Mrembo Simara
Cheupe dawaaa.
Wairakihivi karatu ni kabila gani mbona kuna pisi kali sana
Hakuna mwanamke mgumu kuishi naye kama pisi kali mkuu.
Bora cheusi mangala wako
Wairaki