Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimepatwa na wivu mwingine wa nini sasa madam na wewe 😆😀😀
 
Aweeeeee Lenie

Team [emoji460]️ tuanze kuongea lugha tofauti kuanzia August 5…

Afu wanaanza Arsenal

Nyieeee Wigelekelo tumuone giiiii Jesus [emoji7] View attachment 2292466
Jizasi kaniuma mnoo, kwenda Gunazi,

Na, msimu uanzeee, tuwaoneshe balaa la Haaland.

Na kasema anawataka manyuaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaniangusha sasa dogo[emoji16][emoji16]
Wewe humjui boss lady Irene Uwoya kweli?
Kuna kibarua kitamu katangaza sitaki kukikosa, ngoja aje cocastic ndiye mtaalamu wa hii mambo
Uwoya yupi?? Huyu aliyemwagwa na The Don? Ana mpya gan nayee mjini? Atulize kiuno chake chini, wala asitusumbue sie khaaah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila wee kazi unayoooo, kila mtu unampigia pandeeeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huogopi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…