Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hahaha kitambi hoyee ...Yaan aunt ankowako akiona hiki kitambi ndo ananizmikia balaa [emoji23] kinampa balance [emoji23]ila mm
Alafu ndo tuanpendwa balaa [emoji23]
Vitambi ni kama booster eeh
Hahaha kitambi hoyee ...Yaan aunt ankowako akiona hiki kitambi ndo ananizmikia balaa [emoji23] kinampa balance [emoji23]ila mm
Alafu ndo tuanpendwa balaa [emoji23]
🤣WasitunyanyaseHahaha kitambi hoyee ...
Vitambi ni kama booster eeh
Ila wewe jamani 😂😂😂Boss Depal ubarikiwe sana hakika ww ni untouchable lady ulipotoa mungu akuzidishie ulikuwa kwenye Ndege ya Qatar airways lkn umenifanikishia ombi langu ww boss wa kipekee kwenye harusi yako nitacheza mpka nipasue keki [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 2292286
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sina ukishua ndugu .. nipo tu nasogeza sikuMtoto wa kishua ww huwez kula hzo misosi au fanya mazoezi
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Booster kivip[emoji848]Hahaha kitambi hoyee ...
Vitambi ni kama booster eeh
Af sijawah kwenda jela, nataka nifeel the feeling ya huko😂 so niko radhi kwenda🤣🤣🤣 robbery tena!! Didi kuna jela
Kuna baridi 😅 labda baadae jua likiwaka.. microphone leo ni bakuli
Iringa 14Good morning from Geneva of Africa [emoji854]View attachment 2292261
[emoji3589][emoji108]nimebahatikaHii siku nilifosi smile [emoji3]
Mama alikuwa amenishushua balaa
Sijasahau [emoji19]View attachment 2292354
Hehee njoo unirob afu utajua jela pako aje…Af sijawah kwenda jela, nataka nifeel the feeling ya huko😂 so niko radhi kwenda
Bakuli? 🤣🤣🤣
Tumia hata glasi jaman, ndio inaendana au rimoti. Au hauna tv?😂
Nimeona uso wako ni perfect sana kama umefanya plastic surgery.
Waooo smile la kiboss lady kbsa kama Nancy sumari enzi zake za ujanaHii siku nilifosi smile [emoji3]
Mama alikuwa amenishushua balaa
Sijasahau [emoji19]View attachment 2292354
Hahaha ndio[emoji1787]Wasitunyanyase
Alikushushua ulimdanganya unaenda Dubai kwa Melo kakukuta upo Goba kwa myoyambendiHii siku nilifosi smile [emoji3]
Mama alikuwa amenishushua balaa
Sijasahau [emoji19]View attachment 2292354
Una rangi nzuri sana boss [emoji120][emoji120]Hii siku nilifosi smile [emoji3]
Mama alikuwa amenishushua balaa
Sijasahau [emoji19]View attachment 2292354
We chizi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]UmeamkajeAlikushushua ulimdanganya unaenda Dubai kwa Melo kakukuta upo Goba kwa myoyambendi
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sajari which and why sajari 🤣Nimeona uso wako ni perfect sana kama umefanya plastic surgery.
Hapa umefanana na Nancy Sumary