cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,160
- 181,296
Sasa location hapo, mie najua ni wapi?6x6 aloneView attachment 2292200
Vipi ka mchepoz kako kamekukatalia kukujoin?.
Hadi uwe pekee ako???






Sasa location hapo, mie najua ni wapi?6x6 aloneView attachment 2292200






Afu wanaboa mnooo manesi wa zamu, khaaaahUkilala wanakuja wanakwambia amka dear utakiwi kulala
Mhh hapana we hapanaUsimsikilize huyo![]()
Wanavisebengo haoAfu wanaboa mnooo manesi wa zamu, khaaaah
Huyo ni wa kumtazama tyuuh, mambo yake anayaweza mwenyewe.Hata me nshamuona simuwezi kabisa







Wakianza kufoka sasa, hawaamalizu yaan.Wanavisebengo hao
Me nawaangalia tu maan tukisema wote tufoke hapatakalikaWakianza kufoka sasa, hawaamalizu yaan.
Duuuh poleee dear.Me nawaangalia tu maan tukisema wote tufoke hapatakalika
Asante dearDuuuh poleee dear.
Na kwako pia chiefWeekend njema wadau
Hahahha PutinUsiku mwema boss Mjep Tajiri usie na makuu
Usiku mwema Tinsley Mama mchungaji mwenye ubarikiwe sana mrembo mwenye sauti ya kumtoa sabaya jela
Usiku mwema binti Depal mwenye iPhone zake mjini mamama pekee mwenye signature ikulu
Nyie wengine tukutane nane nane
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
NdioUna hakika![]()
Umeamkaje madamNdio
Good morningNakusalimia mr vocha!
Good morning!!![]()
God is goodGood morning
Madam, umeamkaje?