Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,545
- 81,366
Selfika basi
Sindio wanavyosema dingiAcha ukorofi arifu!
Selfika basi
Sindio wanavyosema dingiAcha ukorofi arifu!
Jombaa unataka mwenye kitambi,,😳Sindio wanavyosema dingi
Watashindwa kuwabeba nyiee shauri yenu!!Hahaaa
Ww madamu acha tunenepe tu
Poapoa mamaa najua ukipiga mpya utatupia!!Nimeweka ya zamani
DuhKuna uzi jana kapostiwa humu… sijapata tena notifications zake, sijui umefutwa
Aah atakuja atakaeupenda mwili nilionao Kwa wakati huo😄😄Watashindwa kuwabeba shauri yenu!!
Poa sweetie [emoji8] nikutunuku selfieYaani leo najisikia kunenepaa
Ahsante sweetie[emoji8]
Binamu Niko Dom kwa Sasa ukija Dom uje tupige story[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]na twende club 7 au bambalagaBinamuuu nimekumiss
Usitoke hapa usitikise hata kopePoa sweetie [emoji8] nikutunuku selfie
Hawezi kuja Dodoma sasa hivi hadi Arusha tumchokeBinamu Niko Dom kwa Sasa ukija Dom uje tupige story[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]na twende club 7 au bambalaga
Hii ni #tigo# sweetiePoa sweetie [emoji8] nikutunuku selfie
Kaahhh!!jamaniHawezi kuja Dodoma sasa hivi hadi Arusha tumchoke
NshachelewaHii ni #tigo# sweetie
*104*761605764147817#
Nimetoka sipati notification jf mda sanaa inaboa mnoooo nachukia[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Usitoke hapa usitikise hata kope