Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,308
Na selfii kama zouteeee👌👌💃💃!!Balaa hapa gerentii mb za kutoshaa![]()
Mr vocha ajiandae tu kushuhudia uumbaji wa molaaaðŸ¤!!
Na selfii kama zouteeee👌👌💃💃!!Balaa hapa gerentii mb za kutoshaa![]()
Acha tu wadada wafaidi....Kilichobak ni kuchange id tu iwe jina la Kike kupata vocha hali ishakua mbaya
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Eh nilikuwa busy nafuatiliaIngiza vocha hapo juu kwanza... Airtel
Haya bwana Putin
Kilichobak ni kuchange id tu iwe jina la Kike kupata vocha hali ishakua mbaya
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app



🤣🤣🤣🤣🤣 mr vocha hana ubaguzi mbona amekuita sana kubwa lao!!Kilichobak ni kuchange id tu iwe jina la Kike kupata vocha hali ishakua mbaya
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
KheeeeeKilichobak ni kuchange id tu iwe jina la Kike kupata vocha hali ishakua mbaya
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Kwan kuwa Dada kwenye vocha sh ngapAcha tu wadada wafaidi....




Embu nitumie picha nione ulivyo chekaAkiiii nimecheka we utaniua mbavuuu
Basi ngoja nipambane na hali yangumr vocha hana ubaguzi mbona amekuita sana kubwa lao!!
Leo piga ngondi, hiyo 1lt petrol unapata vocha za buku 3
Kabisaa Hapo unamuoneaaa mara kibao anaweka halotel na kukuita wewe sijui muda huo unakua unaswampia wapi mazeiya wanapita nazo!



karibuuuu
Ww nitumie jero acha ushauri mwingiLeo piga ngondi, hiyo 1lt petrol unapata vocha za buku 3



17:30 pm nikumbushe
Njoo umuwish kwenye inbox yangu 😂😂
😅😅😅 HBD mtoto wa mtuNjoo umuwish kwenye inbox yangu 😂😂
Na imekuaje adi saiv hujamuwish lakini