Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,212
- 29,376
Asee siku nikija Moshi unipeleke tukataliiMaji ya hapo ni ya moto…
Asee siku nikija Moshi unipeleke tukataliiMaji ya hapo ni ya moto…
Eeh naona portable tuko wengiPotabooooooh
Dress code iko on [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mwanyaa, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mbona hauna kitambi? Au hautunzwi vizuri?......... Mchana mwemaView attachment 2291359
Stand ya mboyaMoshi hamna mjini.. kumejaa stand [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukizunguruka hapo inaisha..
Weee mie nipoooKaribu selfika rafiki
Usiwe unapotea
Wengi mnoooo.Eeh naona portable tuko wengi
[emoji108][emoji108][emoji126]
Sijawahi kbs..Kama utashindwa hapa,selfika pm[emoji3][emoji2] kumbe hujawahi kuniona Sir?
HahaaaNami nimepitwa Jamani!! Rudia sifuri mamy!!
[emoji1][emoji1][emoji1]Mbona hauna kitambi? Au hautunzwi vizuri?
Sitak shikamoo yako [emoji34][emoji34]Kaka Putin Shikamoo
Ushawahi sikia mahali panaitwa mahakama ya ndizi?Stand ya mboya
Stand ya soweto
Stand ya majengo kwa mtei
Stand ya uru
Stand ya ngangamfumuni
Stand kila kona
Tina Kasema leo hakuweka eti!Hata mie pia sijaona jomoneeeeeh.
Hapo njiapanda ya mabiboUshawahi sikia mahali panaitwa mahakama ya ndizi?
Umependeza sana shossss hilo gauniii limenitoaje matee 😋😋😋!!👌👌😳😳Antonnia shogaa ang
sophy27 shangazii
Mwenzenu nshakua ostadhat, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu hata hamjui. Lol View attachment 2291393
Picha za 'kudanlodi'.Antonnia shogaa ang
sophy27 shangazii
Mwenzenu nshakua ostadhat, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu hata hamjui. Lol View attachment 2291393
Tuko wengi mama angu tukipulizwa na upepo tunapeperuka[emoji85]Kumbe portable tuko wengi humu[emoji108][emoji108][emoji3589]
Ipo pia kwa Mathias Msangani KibahaHapo njiapanda ya mabibo
Ama kuna pengine[emoji848]
Poapoa mamy hata badae ukiweka usiache kunitag jamani!!Hahaaa
We madam Leo sijaweka hata
Nyie ndio wazuriiii wepesi mnnabebeka kirahisi mamy!!!Tuko wengi mama angu tukipulizwa na upepo tunapeperuka[emoji85]
Ka, danilodi nawee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Picha za 'kudanlodi'.