Mambo darling
Kwamba sio coca[emoji848]Picha za 'kudanlodi'.
Tubadilishane kwani wee unipe kiponi ilee.Umependeza sana shossss hilo gauniii limenitoaje matee [emoji39][emoji39][emoji39]!![emoji108][emoji108][emoji15][emoji15]
Nakuja kulichukua walai usintanieeee [emoji8][emoji8]!!
Poa lovely [emoji8][emoji8][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo darling
Siku hizi tunaitwa mikuki[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji1787]Nyie ndio wazuriiii wepesi mnnabebeka kirahisi mamy!!!
Miss u sweetiePoa lovely [emoji8][emoji8][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mnachoma na kuchomoa kiwepesiSiku hizi tunaitwa mikuki[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji1787]
Nyie nilikuwa wapi mtoto mkali......... Mchana mwemaView attachment 2291359
[emoji1]
Shauri yako utapishana na gari la mshahara.Mim kitambi kwangu ni mwiko..... Kutunzwa au situnzwi hyo ni siri yangu [emoji3526][emoji3526][emoji3526] naogopa kukwambia aunt Antonnia ashanikataza nisiwe ka kisebengo Cha kusema Siri za nyumbani kwetu
Pisi kama hii ndyo yakupakia vumbi la Congo sasa......... Mchana mwemaView attachment 2291359
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] umependeza mamaMchana mwema View attachment 2291395
Hebu rudia ya kiponii. Shougaaa angu.Poapoa mamy hata badae ukiweka usiache kunitag jamani!!
Nimeweka tbt[emoji1]Tina Kasema leo hakuweka eti!
Me mwenyewe sifaham
Sio yeye. Kwa maneno yake humu lazima awe nginjangija frangenge.Kwamba sio coca[emoji848]
Ewaaaah ndo sie tunataka hiyo mivumbi ya Kongo
Natafuta details za picha, hadi nikufikie nikuporee nguo.Mchana mwema View attachment 2291395