Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,879
- 147,378
Mie nilishakataaga, sitaki.Ndio maana Wigelekelo anamuita babu wa mchongo
Mie nilishakataaga, sitaki.Ndio maana Wigelekelo anamuita babu wa mchongo
Aende zake huko,Hakuna babu hapo[emoji1787][emoji2089]
Kaa kwa kutuliaAnza basi ku practice, you know practice makes perfect!
Aisee.... safi.Ooh napenda bamia… bamia ni nzuri kwa mwanamke,, na hujui mbamia ukoje.. Lenie View attachment 2289778
Vocha haina shida ila ela kituo cha polisi kinakuhusu Lizzy 😅😅😅😅Eti kwani mmemwambia nini mama wa kambo... Mjep Nations Satoh Hirosh Wigelekelo myoyambendi Carrasco putin mzabzab na ndugu zenu wengine 🙄🙄View attachment 2289169
Usitake kuanzisha[emoji16][emoji16]Ndio mjue sasa
Kavimbiwa sato huenda na mada ya vumbi [emoji1787][emoji2089]
Udongo wa njiro mweusii tiiOoh niwekee chips yai ya kushiba, na zao la viazi hujui lafananiaje Lenie View attachment 2289775
Karibu sana jiraniItabidi nije jirani. Kwa hali hii.
Mbio za kukimbilia vocha humu sina[emoji23]Selfika na #tigo#
*104*758583588983089#
Uzuri wake nini[emoji848]Ooh napenda bamia… bamia ni nzuri kwa mwanamke,, na hujui mbamia ukoje.. Lenie View attachment 2289778
Asante jirani ..Karibu sana jirani
Wewe yako utaipata pmMbio za kukimbilia vocha humu sina[emoji23]
Ila ni CEOAende zake huko,
Inaonyesha kabisa hata hakajafika 26yrs[emoji41]
Kwahiyo[emoji16]Ila ni CEO
Pale airport
Kwa hiyo jana uliielewa eehUsitake kuanzisha[emoji16][emoji16]
Shoga angu nikwambie tu ukweli maana ukweli humuweka mtu huru😂Lenie mie ni mkali au mpole ? Au mixer 😝
Kuna cuzzo mmoja jana kanichana aisee
Nimeweka status.. kaiba picha karepost kwake, nikareply na 😍… akanambia ninawapenda sana 🤣 ila J kakuzidi..
Nampenda J ye mpole , we muda mwingi uko serious 🤓
Nikamtumia stika kwanza ya kumpiga konzi 🤣🤣
sasa bado nipo kujitafakari…