Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Haka ka mlio ka guduuu ata ukiweka silent simu hakanyamazi..

Kataharbu kazi
Unaweza kukatoa mkuu,
Nenda kwenye profile yako kipengele Cha preference halafu Sound notification unaweka 'your sound"
Screenshot_20220714-113827.jpg
Screenshot_20220714-113848.jpg


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Eendiwoooo!!😘😘😍😍!!
Sijakuona kitambo mdogo wangu nibariki na ka selfii pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Mdogo wako tena madam😭😭😭😭😭
Sema mchumba wako
Ina maana lile somo la jana la Lovelovie na Carrasco putin hayajaeleweka??
Ntajinyonga mimi ujue

Alafu mbona nimepost kitu naked kabisa km dk 2 zilizopita hapa
 
Mdogo wako tena madam😭😭😭😭😭
Sema mchumba wako
Ina maana lile somo la jana la Lovelovie na Carrasco putin hayajaeleweka??
Ntajinyonga mimi ujue

Alafu mbona nimepost kitu naked kabisa km dk 2 zilizopita hapa
Hahahaaa liliniingia kisawasawa mr vocha Anne mchumba nikuone mchana wangu ukawe mzuri jamani!😉😉😉🤩!!

Weee sijaona mr Vocha rudia kidogo nikuone jamani!!
 
Back
Top Bottom