Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Unajishaua eehKwanini nisiweze wakati nishafanya
Unajishaua eehKwanini nisiweze wakati nishafanya
Salama kabisa jirani..baridi tu kwetu.Umeamkaje jirani
Pole sana jirani, njoo huku tunywe chai tupunguze baridiSalama kabisa jirani..baridi tu kwetu.
Miaka Ile ya 47' wakati tunakua ilikuwa ukimwona Mzee amekaa vibaya ilikuwa tunafumba macho, ila nyie wa miaka hii mnafanya kuoneshana kabisa 🤪🤪😁😁 mpaka upate miwani si itakuwa ishajifunga yenyewe kimiujiza
Itabidi nije jirani. Kwa hali hii.Pole sana jirani, njoo huku tunywe chai tupunguze baridi
Kawaida yangu 🤣 kwani hujuiUnajishaua eeh
😂😂😂😂😂😂 dahMiaka Ile ya 47' wakati tunakua ilikuwa ukimwona Mzee amekaa vibaya ilikuwa tunafumba macho, ila nyie wa miaka hii mnafanya kuoneshana kabisa 🤪🤪
Anko weka hako kapicha tukatafakari kwa kina hapa...Lenie mie ni mkali au mpole ? Au mixer [emoji13]
Kuna cuzzo mmoja jana kanichana aisee
Nimeweka status.. kaiba picha karepost kwake, nikareply na [emoji7]… akanambia ninawapenda sana [emoji1787] ila J kakuzidi..
Nampenda J ye mpole , we muda mwingi uko serious [emoji851]
Nikamtumia stika kwanza ya kumpiga konzi [emoji1787][emoji1787]
sasa bado nipo kujitafakari…
Ndo maana mie nilishakataaga kukuita babu.
NooAnko weka hako kapicha tukatafakari kwa kina hapa...
Ukute anaunda kamtego fulani hivi
Kaongea kingereza [emoji848][emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji2440]
Ndio maana Wigelekelo anamuita babu wa mchongoNdo maana mie nilishakataaga kukuita babu.
Kwahiyo?Sasa hivi najiamini
Nimeanza kusoma English course
Hakuna babu hapo[emoji1787][emoji2089]Ndo maana mie nilishakataaga kukuita babu.
Ndio mjue sasaNdio maana Wigelekelo anamuita babu wa mchongo
Sijambo kabisaHujambo jirani...
Anza basi ku practice, you know practice makes perfect!Usiwaze
Soon niki graduate utanielewa tu