Watu wengine mnajikutaga sana, sijui mna nini! Wakiitwa watu wa Nene na wewe uende? Acha mambo yako....punguza mikogo. Wewe siyo mnene wala siyo mwembamba kwahyo tulia ila kama unataka kuwa kama mange kimavi nenda kanywe madawa ya kukonda uwe skeleton kama huyo..
Hahahaah..yule mzee mwantimwa alikuwa jirani yangu pale loleza sec..
Tumeishi pamoja pale kwenye zile Kota kabla hajahama rasmi..
Mkewe na watoto walikuwa wanauwata wazuri Sana..niliwapenda.
Kuhusu jina umepatia kabisa.. you're so smart my dear
.
Ila mwakaleli bhna migomo yenu ilikuwa inachekesha