Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dooh nimeangalia hizi picha ndiyo nikajiona kweli mimi ni mnene ninyi mnaosema mimi siyo mnene Mungu anawaona mjue

Denvers unaipata hiyo chuma hapo nyuma??View attachment 1255181View attachment 1255182
Watu wengine mnajikutaga sana, sijui mna nini! Wakiitwa watu wa Nene na wewe uende? Acha mambo yako....punguza mikogo. Wewe siyo mnene wala siyo mwembamba kwahyo tulia ila kama unataka kuwa kama mange kimavi nenda kanywe madawa ya kukonda uwe skeleton kama huyo..
 
Back
Top Bottom