Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,977
- 136,865
Hili la kawaida sana ujuevaa miswetaa maana uliipenda mwenyewe

Hili la kawaida sana ujuevaa miswetaa maana uliipenda mwenyewe

Tunakula😁Kimya sana humu!
Helllloooowwww!!
Awapi Kwani wee huoni???Tunakula😁
🙂🙂 toffee tu.. bado sijaonaUnaweza kukesha??😁😁😁
Alafu unaomba makande, samaki au toffee ??🙂
Wako photo shoot wanaandaa selfieAwapi Kwani wee huoni???
Pamoja na kula siku mbilitatu hizi Kuna pipo zimeadimika sana
Tulia hapa usitokeNaombeni vocha wakuu!! mtandao wenye kasi zaidi Voda . kaka Mjep msaada wa vocha
Sawa kaka. Sasa muda huu ungenisaidia ka voda haya ka Elfu 2 tu dahhhh!!Wako photo shoot wanaandaa selfie
Tufanye ya buku mbili kakaTulia hapa usitoke
Ya sh ngapi itakufaa?
Halotel usinisahauTulia hapa usitoke
Ya sh ngapi itakufaa?
Hapa patajaa jau ya wagombea vocha muda si mrefu !! Ataenyakua yangu namtoa kikojoleo!!
🙂🙂🙂 mvumilivu hula mbivu.. wacha nikae hapa nashushia tea dawa..You got it! ☕
Nasubiria jua liwake 🙈
Hapa sasa ni mbio zako tuTufanye ya buku mbili kaka
Ya sh ngapi chief
Hapa sasa ni mbio zako tu
Napandisha mzigo sasa hivi
1000 tu inanitosha nitumie pm boss hapa Kuna watu wapo fasta kuliko upepoYa sh ngapi chief
Hapa patajaa jau ya wagombea vocha muda si mrefu !! Ataenyakua yangu namtoa kikojoleo!!



huwez kuipata hapa Kuna watu wapo fasta sana