myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Mungu atupe siku njema 🙏
Amina mkuu nakwako pia!!!Mungu atupe siku njema 🙏
...mda bado bado
ndo shida ya kua single
ila wewe kakorofi 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Wazazi ndo wanaviharibu wao wenyewe
Hahaha vp lkn mzma wwWazazi ndo wanaviharibu wao wenyewe
Ndio mie mzima mkuu sijui ww
Kwetu inasoma kuna mvua sijui ni manyunyu sijui,lakini tu kuna baridi lenye ujazo

Ni mchana lkn hii baridi sio poa 😒Kwetu inasoma kuna mvua sijui ni manyunyu sijui,lakini tu kuna baridi lenye ujazo![]()
😃😃 vaa miswetaa maana uliipenda mwenyewe
Kwenu wapi?njoo kwetu hakuna baridi
Asbh huku kulikua na barid balaa, saivi jua limechomoza limeleta kijotoNi mchana lkn hii baridi sio poa 😒
Duh!! hatarii