SurbiFanya fasta kabla hawajajaa sasa kakangu najua kuna nyau wapo standby kimya kimya 😳😳😳😳
Voda hiyo
*104*904118012905957#
SurbiFanya fasta kabla hawajajaa sasa kakangu najua kuna nyau wapo standby kimya kimya 😳😳😳😳
Carrasco putin1000 tu inanitosha nitumie pm boss hapa Kuna watu wapo fasta kuliko upepo
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Haya wadada....wepesi huooo
Pole mkuu alafu ni elf 2 ilikua
Nashukuru sana kaka vocha Mungu akuzidishie mnoooo kaka🙏🙏!!
Hata wakaka mkuuHaya wadada....wepesi huooo
HongeraNashukuru sana kaka vocha Mungu akuzidishie mnoooo kaka🙏🙏!!
Nashukuru sana kakangu sasa mambo ni bam bam!
Ebu selfika tuone dada yanguNashukuru sana kakangu sasa mambo ni bam bam!
Kuselfika kwakwenda mbele!!
Pole yake sana huyo naona kila siku anakosa na yuko hapa!!Hongera
Yaani uko makini balaaaaa
Mwenzio kaikosa yakwake na alikua hapa hapa
Dahh nifanyie basi pm boss wangu ya 1000 tuPole mkuu alafu ni elf 2 ilikua
Wenye simu 2 mnafaidiNashukuru sana kaka vocha Mungu akuzidishie mnoooo kaka!!
Ebu selfika tuone dada yangu
Nipe muda nitafanya mambo mkuu
Simu 1 ndo rahisi sasa maana nimesharahisisha ni ku coppy na ku paste chap
Leo mimi nashukuru marathon wa voda wapo bize mbona namie Ningekua nalia na nafsi yangu hapa pole bana!
Sibanduki hapa dada yangu mzuri mzuriUsiwazee kabisa kaka vocha tulia ulipo nifanye mamboz!!!
Wakaka ni aibu kwa kweli, japo huenda wanajiwekea kimyakimya....
😂 😂Leo mimi nashukuru marathon wa voda wapo bize mbona namie Ningekua nalia na nafsi yangu hapa pole bana!