Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

teh! mama mwenyewe unakuta mahondaw Antonnia au mawardat ..
anto.png
 
Harufu ya manukato
Iko sambamba na urembo wa sura yako
Mabusu ya midomo yako
Ni ishara ya upendo toka moyoni mwako

Naahidi nitakuwa na wewe daima
Na nimezama cha mpenzi kisima
Jitahidi kunitunzia heshima
Wambea wengi sana na wamejaa fitina

So lemi just say

K-I-S-S
Just a kiss for you
Unanipendeza sana we mama

Nuzulati mama 🙂 🙂
 
Back
Top Bottom