Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

 
Nina HESHIMA kubwa sana kwenye huu Uzi.. Umepunguza pakubwa mno kejeli kwa dada na mama zetu hapa jukwaani.. Lakini pia tumeshuhudia visu, nyembe na mundu... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Asante sana Mshana Jr uzi wako umenikutanisha na member kadhaaa.
BTW huu ni uzi pekee wenye real time pics
 
Back
Top Bottom