cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,357
- 188,057
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitaweza.Hawezi acha huyu hawezi kabisaaaa
Hebu mniombeee wana selfika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitaweza.Hawezi acha huyu hawezi kabisaaaa
Wee cheupe dawqla mbna sijaona picha yako?
Vochazenyew Leo nimeona tangu unatype ikaja tigo naiweka imetumika🤣🤣 dakika haijafikaNitakua narusha vocha ya buku kila siku hapa baada ya siku 10 nitakua nimemaliza hilo deni😅😅
Mwenyewe siwezagi aisee,nilimchanaga mdada was watu,nikikumbuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu aliwahi nambia wee jifanyee eti ooh unafiki siwezi, mara msema kweli, itakuja mdomo uwe kisogoni, utapata akili.
Naogopaga mnoooo.
😂😂🤣ulikua wapi unalala sana[emoji3][emoji3]
ila kwanini cheupe dawa jamani[emoji23][emoji23]
Ataweza mbona[emoji23],itafika kipindi ata kuongea atakuwa anaona shida,Hawezi acha huyu hawezi kabisaaaa
Wewe ni mkorofi sana dogoMwenyewe siwezagi aisee,nilimchanaga mdada was watu,nikikumbuka[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna ofisi 1 ya umma pale posta, na rafiki angu, kwenye lift, hadi aibu, jinsi nilivyo dhalilika. Nlipiga kelele lift ilizima umeme ulikatika ghafla, sasa kuna km ki hali fulan cha harufu ya kuungua nikawq nasikia, nkajua shott wee acha nipige ukunga wa nguvu,[emoji23][emoji23]Usinikumbushe
Nilimtembelea rafikyng ofisin kwao akanipeleka restaurant kunywa chai Bomba silielew
Nikashndwa kufungus Bomba nikasema usinitanie nikamuita mhudumu hebu njoo nifungulie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ninawe nikale
Sema sikumsimulia angenicheka falayule
Ndyoo wee ni cheupe dawaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulikua wapi unalala sana[emoji3][emoji3]
ila kwanini cheupe dawa jamani[emoji23][emoji23]
Thanks,Allah bless you[emoji7]Ngoja niwahi fursa hii[emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaaah.Mwenyewe siwezagi aisee,nilimchanaga mdada was watu,nikikumbuka[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeacha,Wewe ni mkorofi sana dogo
🤣🤣🤣🤣nimecheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna ofisi 1 ya umma pale posta, na rafiki angu, kwenye lift, hadi aibu, jinsi nilivyo dhalilika. Nlipiga kelele lift ilizima umeme ulikatika ghafla, sasa kuna km ki hali fulan cha harufu ya kuungua nikawq nasikia, nkajua shott wee acha nipige ukunga wa nguvu,
Yaan sitasahau kuna yule dada acha anichambee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule dada alijua kunisuuza, yaan alinichambaa, akauliza unasoma mie ndyo wapi nkataja, mwaka wa ngapi ndo ilikua 1St yr, kaniuliza unatokea mkoa gan nkataja, woiiiiiiii nlifungulia kapu la kichambo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka
Kuna mmoja alijivesha suruali raia wakawa wanamsifia[emoji23],,nikamuita nikamuuliza nani kakuambia ukivaa hivyo unapendeza??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaaah.
Kama nakuona ulivyokuwa umepoa 🤣🤣Yule dada alijua kunisuuza, yaan alinichambaa, akauliza unasoma mie ndyo wapi nkataja, mwaka wa ngapi ndo ilikua 1St yr, kaniuliza unatokea mkoa gan nkataja, woiiiiiiii nlifungulia kapu la kichambo.
Na alinioshaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahKuna mmoja alijivesha suruali raia wakawa wanamsifia[emoji23],,nikamuita nikamuuliza nani kakuambia ukivaa hivyo unapendeza??
Nikamwambia mie nakuambia ukweli mdogo wangu,achana na masruali hayakupendezi na hayo matako kama dereva wa masafa marefu,
Dogo alinielewa,tokea siku hiyo kakitaka kutoka kananifuata kuniuliza,hapa vipi dada?
Yaan afu kuna wakaka walikua pale yaan hadi aibu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama nakuona ulivyokuwa umepoa [emoji1787][emoji1787]
Ningekuwa ningeangusha kilio na kwenye kichambo 😂😂😂😂😂Yule dada alijua kunisuuza, yaan alinichambaa, akauliza unasoma mie ndyo wapi nkataja, mwaka wa ngapi ndo ilikua 1St yr, kaniuliza unatokea mkoa gan nkataja, woiiiiiiii nlifungulia kapu la kichambo.
Na alinioshaaaaa,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada hapa ulicheza km pele.Kuna mmoja alijivesha suruali raia wakawa wanamsifia[emoji23],,nikamuita nikamuuliza nani kakuambia ukivaa hivyo unapendeza??
Nikamwambia mie nakuambia ukweli mdogo wangu,achana na masruali hayakupendezi na hayo matako kama dereva wa masafa marefu,
Dogo alinielewa,tokea siku hiyo kakitaka kutoka kananifuata kuniuliza,hapa vipi dada?