Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,920
- 147,579
Loooh hapa sina hata lepe la usingizi,Hapana usipige usipige[emoji119][emoji119][emoji119]
Ukalale sasa ukue dogo
Leo nakesha
Loooh hapa sina hata lepe la usingizi,Hapana usipige usipige[emoji119][emoji119][emoji119]
Ukalale sasa ukue dogo
Umeona eeh 🤪Ila wajukuu zako
Hadi kwenye mapishi wapo vizuri
Hapana nilichogundua huwa unaweka km mapozi. Ndo maana leo nimekuambia, sababu uko tofauti na siku zote.Never knew kwamba wewe unaeniona mara moja kwa mwez ungenijua ivi kulko nnaoishi nao nyumba moja[emoji122]
Coca atekuja akujibu,usilale[emoji21]Usiku mwema watu wa Mungu
Na mimi nakesha hapa na wewe mlongoLoooh hapa sina hata lepe la usingizi,
Leo nakesha
Kwan sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan wewe na coca mnanifraishaga sana[emoji23]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nakupendaga[emoji7]
Mm naulizaga tu aah Cha kufia nn na watu wapo😂😂Usitake kukwepa kumtoa out Babu yako Mjukuu 🤪
Nataka nikajifunze kula Kwa Uma na kisu 🙈
Aunt Hebu selfika basiNa mimi nakesha hapa na wewe mlongo
Usisahau kuselfika tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah wee wapiiii.Kuna mzigo nilifata hapo [emoji23]mm sio wa level hizo aunt elayng ya mawazo mno[emoji23]
Usijali nipo hadi majogoo,kikubwa bandoNa mimi nakesha hapa na wewe mlongo
Usisahau kuselfika tuu
Aunt mm nikikutoa out naenda na hesabu kmili kunywa elf 10 ukizidisha bill juu Yako😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah wee wapiiii.
Nikikumbuka ile siku kakuita mkuu[emoji23][emoji23][emoji23],Kwan sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nkamu na baba yetu😍😍hiyo JF tu haielewi Selfika ndiyo nitamchanganya zaidi Mnyakyusa wa watu[emoji23][emoji23]
zimefika
View attachment 2286677
Aunt mbona siku ile ulinitoa out ukatumia elf 20 kumbe ulivunja miiko yako😜😜Aunt mm nikikutoa out naenda na hesabu kmili kunywa elf 10 ukizidisha bill juu Yako😂😂😂😂
Unapaswa ujue mtizamo wako hauwezi kua sahihi siku zote..Hapana nilichogundua huwa unaweka km mapozi. Ndo maana leo nimekuambia, sababu uko tofauti na siku zote.
Kuna picha ulipost siku 1 hivi, nkaona utofauti kidg, nkakuuliza mdomo wako ndo ulivyo? Ukanijibu kwan vipi, nkasema bas ntakuambia siku ingne, sasa picha zilizofuata ulizokua unapost zikawa zipo venye ulikua unaweka, hadi nkahisi ndo ulivyo ila sikua naamini sana.
Leo ndo umepost mdomo umekaa vizuri, na uko sawa sawa, ndo maana nkagundua kumbe vile ni mapozi. Sio ulivyo.
Nimekuambia hivi kuna kaka yeye alizaliwa vizuri tyuuh, lakini baada ya ujana, akawa anaweka pozi za mdomo km wa mondi, tena alikua anaona fashion na ujanja, mwisho wake amezoea na mdomo umelegea mazima, hivi alivyo ni tofauti na mwanzo.
Samahani lakini km nimekukwazaa, nisamehe bureeee.
Bando ikiisha nishitue nirushe vocha hapa hakuna kulala🤣🤣Usijali nipo hadi majogoo,kikubwa bando
Jamani muache Dr akalale.Coca atekuja akujibu,usilale[emoji21]
UkIona kimya ujue bando[emoji23]Bando ikiisha nishitue nirushe vocha hapa hakuna kulala[emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂Aunt itakuwa nililewaAunt mbona siku ile ulinitoa out ukatumia elf 20 kumbe ulivunja miiko yako😜😜
Ulale sasa.Unapaswa ujue mtizamo wako hauwezi kua sahihi siku zote..
Nna marafiki active 200+ na wananijua 12 years ago naishi na watu nyumba moja wana nnao kibao hawajawah nambia izo vitu unaniletea...
Haunijui nipo tofauti sana na unavonifikiria maoni yako ningeweza kuyafikiria miaka 7 nyuma kipindi nawafatilia hao kina mond ila sio sasa npo mbali na hio lifestyle unayonidhania