Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aunt mm nikikutoa out naenda na hesabu kmili kunywa elf 10 ukizidisha bill juu Yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi niambie utanipeleka wapi? Siku ya kwanza napanda ghorofa tena O level, nusu nianguke kwa kizungu zungu?
Ushamba mzigo, sehemu za watu wengi sitakiiii.
 
Nkamu na baba yetu[emoji7][emoji7]
Anastahili pongezi huyo Mnyaki wallah [emoji122][emoji122]
Aling'oa chombo haswaaa
Furahieni maisha
Maisha ni matamu sana nkamu

Asante sana Nkamu
uwe na usiku mwema wewe na familia
[emoji1545][emoji1545]
 
Unapaswa ujue mtizamo wako hauwezi kua sahihi siku zote..
Nna marafiki active 200+ na wananijua 12 years ago naishi na watu nyumba moja wana nnao kibao hawajawah nambia izo vitu unaniletea...
Haunijui nipo tofauti sana na unavonifikiria maoni yako ningeweza kuyafikiria miaka 7 nyuma kipindi nawafatilia hao kina mond ila sio sasa npo mbali na hio lifestyle unayonidhania
Basi nisamehe bureeee,
Yameisha hayaaa.
 
Kawaida tu ujue,itafika kipindi unaacha[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu aliwahi nambia wee jifanyee eti ooh unafiki siwezi, mara msema kweli, itakuja mdomo uwe kisogoni, utapata akili.
Naogopaga mnoooo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi niambie utanipeleka wapi? Siku ya kwanza napanda ghorofa tena O level, nusu nianguke kwa kizungu zungu?
Ushamba mzigo, sehemu za watu wengi sitakiiii.
😂😂Usinikumbushe
Nilimtembelea rafikyng ofisin kwao akanipeleka restaurant kunywa chai Bomba silielew
Nikashndwa kufungus Bomba nikasema usinitanie nikamuita mhudumu hebu njoo nifungulie 🤣🤣🤣ninawe nikale

Sema sikumsimulia angenicheka falayule
 
Back
Top Bottom