Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Kweli best
Kweli best
Jioni njoo nikununulie ice cream ya azam rambaramba [emoji39][emoji39]Kweli best
Eeh kariakoo hapo au wapiJioni njoo nikununulie ice cream ya azam rambaramba [emoji39][emoji39]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nimepitwaaa na picha yako, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]"Aw thank you! The people around me must be wondering why I'm smiling so big at my phone."
Nashukuru sana japo mie wa kawaida sana
Picha hiyo nilipiga tu random .
Juzi ulikuwepo kumbe ukashindwa kunitafuta [emoji856][emoji856]Eeh kariakoo hapo au wapi
Juzi tu nilikuwa hapo ...
Itakuwa ulikuwa busy na kazi shemJuzi ulikuwepo kumbe ukashindwa kunitafuta [emoji856][emoji856]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sawa [emoji120][emoji120]Itakuwa ulikuwa busy na kazi shem
😂😂😂Hao ndo mtaowakuta mbinguni nahis mtakuta mna wajukuu tayari
Okay
Unachokiogopa ni nini[emoji848]Geto [emoji23] ahsante kwa mualiko, baada ya kula ni uzi wa Rikiboy tu
Muonaji ndio anapima uzuri wa mtu wewe Unaweza kujiona wakawaida mwingine akakuona pic Kali pia kuna wengine wakajiona ni pic Kali hao hao kwa wengin wakawaona wa kawaida preference ya mtu mmoja inaweza ikawa tofauti kwa mwingine to my side your so beautiful upo natural ngozi yako ni nzuri your lips look amazing na Mungu kakujalia kifuani mashallah! Ila nakushauri usingie kwenye mkumbo wakina dada wanaojichubua"Aw thank you! The people around me must be wondering why I'm smiling so big at my phone."
Nashukuru sana japo mie wa kawaida sana
Picha hiyo nilipiga tu random .
Woooow mrembooo wangu,Haya naifuta cocastic dearView attachment 2286127
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sio vitukuu shangazi?[emoji23][emoji23][emoji23]Hao ndo mtaowakuta mbinguni nahis mtakuta mna wajukuu tayari
Muonaji ndio anapima uzuri wa mtu wewe Unaweza kujiona wakawaida mwingine akakuona pic Kali pia kuna wengine wakajiona ni pic Kali hao hao kwa wengin wakawaona wa kawaida preference ya mtu mmoja inaweza ikawa tofauti kwa mwingine to my side your so beautiful upo natural ngozi yako ni nzuri your lips look amazing na Mungu kakujalia kifuani mashallah! Ila nakushauri usingie kwenye mkumbo wakina dada wanaojichubua
Kabisa na vilembwee😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sio vitukuu shangazi?
Asante dearWoooow mrembooo wangu,
Lips,
Shingo.
Uko vyedi mnooo, shemelaaa anafaidi aseeeh, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa na vilembwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] mic u sanaa.Asante dear
Nashukuru Mno [emoji7]
Be blessed [emoji3531]