Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Miss you too babes
Picha hiyoView attachment 2286118
@Tinsley [emoji3059]⁩
Jinsi ulivyo hakika unajua kuteka watu moyo jaman
Mdada flan huwa nikikaa na kukufikiria huwa nawaza ulishushwa toka mbingun
Yaan mtoto lain
Unajua kila kitu daah
Umependeza sana [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
"Aw thank you! The people around me must be wondering why I'm smiling so big at my phone."

Nashukuru sana japo mie wa kawaida sana
Picha hiyo nilipiga tu random .
 
Back
Top Bottom