financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,514
😂😂 nahitaji hiyo BMW ila naogopaaaila ujiandae kidogo tuu sio sana, maana kwa kuruka kuanzia kamba ya CPA uje kwenye kamba ya BMW 😅 😅 😅
😂😂 nahitaji hiyo BMW ila naogopaaaila ujiandae kidogo tuu sio sana, maana kwa kuruka kuanzia kamba ya CPA uje kwenye kamba ya BMW 😅 😅 😅
Huto umia hata, nina kipili pili hata ukiongea tu kinaruka 😅 😅😂😂 nahitaji hiyo BMW ila naogopaaa
Ni nini hii sijaelewa mkuu
Shikamoo nkamuMuda ndiyo huu wakuu, happy Eid to you😋😋
Sina hata cha maana hapa
TamuuMuda ndiyo huu wakuu, happy Eid to you[emoji39][emoji39]
Ahsante nkamu, upo wapi nije😂Shikamoo nkamu
Karibu Eid
Ujapika jamanSina hata cha maana hapa
Karibu tule nguna hapa
Karibu mkuu
Niko hapa Kwa Mrefu nkamu wahiiAhsante nkamu, upo wapi nije😂
Unaniita mkuu unataka uninyime nn ww bintiKaribu mkuu
Ugali upo njoo tule
Si tulikubaliana humu ndani wote ni wakuu, hukusikia hiyo?😂
Bana banaSi tulikubaliana humu ndani wote ni wakuu, hukusikia hiyo?[emoji23]