Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,971
- 26,952
Shikamoo shemeji
Shikamoo shemeji
Haya Sawa

Kumbe ni wewe nnayekudai BMW😂 nakuja harakahaya ndio maneno sasa uje uchukue ni BMW X7 yako 😅 😅 😅
Km ya Tusiime Sec au Benjamin Mkapa sec.


haya tuishie hapo kwanza...... Mbona ujanialika😅😅😅 yaani ipo tu hapo parking imetulia inakusubiriKumbe ni wewe nnayekudai BMW😂 nakuja haraka
Ndyo ndyo bossWale waliopo Mwanza maeneo ya CAPRI-POINT , mnakaribiswa sana kuungana na familia ya Mr Mac kwaajili ya kupata chakula na kufurahia pamoja.
Mualiko serios kabisa huu.
Hahaa Mr. Bima, naifata soon ila nahisi sehemu za siri zitateseka sana hadi kuipata hiyo Bima😂😅😅😅 yaani ipo tu hapo parking imetulia inakusubiri
Hivi huko seriousWale waliopo Mwanza maeneo ya CAPRI-POINT , mnakaribiswa sana kuungana na familia ya Mr Mac kwaajili ya kupata chakula na kufurahia pamoja.
Mualiko serios kabisa huu.
Sawa pole sana aiseh
😀😀😀 mawazo yako yashindwe kabisaaaa.. uje uchukue funguo na gari yakoHahaa Mr. Bima, naifata soon ila nahisi sehemu za siri zitateseka sana hadi kuipata hiyo Bima😂
Sawa mkuu👏😀😀😀 mawazo yako yashindwe kabisaaaa.. uje uchukue funguo na gari yako
Me nipo hapa Capri Cabbana.... Aiseh nkimaliza shughuli nakuja mkuuWale waliopo Mwanza maeneo ya CAPRI-POINT , mnakaribiswa sana kuungana na familia ya Mr Mac kwaajili ya kupata chakula na kufurahia pamoja.
Mualiko serios kabisa huu.
ila ujiandae kidogo tuu sio sana, maana kwa kuruka kuanzia kamba ya CPA uje kwenye kamba ya BMW 😅 😅 😅Sawa mkuu👏
100% serious mkuu, unaweza kuja na ndugu na marafiki zako pia.Hivi huko serious
Me nipo hapa Capri Cabbana.... Aiseh nkimaliza shughuli nakuja mkuu
Tena wewe upo karibu kabisa mkuu, KARIBU SANA.Me nipo hapa Capri Cabbana.... Aiseh nkimaliza shughuli nakuja mkuu