AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,412
- 6,281
Ndo mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hivi ninaye kuhisi ni wee au. Niko wrong?
Maan sikuelewi, hii Selfika sahivi ni kichaka
Ndo mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hivi ninaye kuhisi ni wee au. Niko wrong?
Maan sikuelewi, hii Selfika sahivi ni kichaka
Njoo geto tumechinja ngamia, ma kila kitu ya kumwagaNaombeni mualiko wa Eid wapendwa 😒
Ndizi ipi unataka we bintiWajuvi nichagulieni ndizi laini laini tamu isiyoiva mapemaa!l[emoji6]
Kheee wwMe najua ndizi zile za moshi ni ngumu aziivi mapema sio tamu..... Ndizi za Bukoba nene ndefu zinaiva mapema ni tamu, ndizi za Bukoba fupi aziivi mapema ni tamu pia
Nimependa hapo kifuaniWajuvi nichagulieni ndizi laini laini tamu isiyoiva mapemaa!l[emoji6]
Ndio [emoji23][emoji23][emoji23]Kijana Bachelor anaeza kualika ukale kwake akukule na mpishi!![emoji23][emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyo raha kula na kuliwaKijana Bachelor anaeza kualika ukale kwake akukule na mpishi!![emoji23][emoji23][emoji1787]
Hahahaaaaaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyo raha kula na kuliwa
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
🤔🤔🤔🤔🤔😉😉Ndio [emoji23][emoji23][emoji23]
💃💃✌️✌️✌️✌️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan uwiiii.Ni kukaa kwa kutulia sana saivi .
Oooh basis sawaa.Ndo mimi
Yeah za Bukoba ni tamu me hua sio mpenzi wa ndizi lkn hzo nlipendaHahahaaa... Saivi nishakua addicted na za bukoba at the beginning nilipata sana tabu but badae nikazizoea!!
Asante
Abe
Mie mwenyewe nasubiria mpaka saivi bilabila !![emoji6]