Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]loh kama najiona nilivyo kwenye hilo kundi la tatu
Nina HESHIMA kubwa sana kwenye huu Uzi.. Umepunguza pakubwa mno kejeli kwa dada na mama zetu hapa jukwaani.. Lakini pia tumeshuhudia visu, nyembe na mundu... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]BTW huu ni uzi pekee wenye real time pics
 
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]ngoja tufanye hivi muulize form one alisoma tusiime mwaka 2012?? Jibu likiwa yes basi ni yeye ila kama ni no basi siyo yeye!! Na jibu likiwa yes nitamtajia jina la mdogo wangu nijue kama anamkumbuka..
Kwa hiyo mkuu 2012 ulikuwa form 3 ????????

To good to sound true
 
Mundu... CC : @karma
tapatalk_1572982247189.jpeg
 
Back
Top Bottom