Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,881
M SDA unalewa fanta 😂😂😂
M SDA unalewa fanta 😂😂😂
Salama kabisa chiefSalam za usiku kwenu..
Poa kabisa mkuu...Salama kabisa chief
Bila shaka uko poa
nakwako pia jiranii huku Salama Kabisa!Salam za usiku kwenu..
Ray C wakati wake akitamba dah!
Toka pepoM SDA unalewa fanta [emoji23][emoji23][emoji23]
Enzi hzo alitikisa sana watoto wa sshv hawawezi jua
Ni bless vocha ya jero basi rafiki angu mzur mzurSitokiiiiii
Niko ndani aiseeNi bless vocha ya jero basi rafiki angu mzur mzur
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ahhhhh Sawa [emoji2357][emoji2357]Niko ndani aisee
Utatupiwa zongo la kimeru kijana ukeshe ukihangaika
Kesho ukajenge taifa ehh blue MondayUsiku mwema wana selfika!![emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Hhahahahaaa!! Ndiomana Nalala mapemaa mamdo!
Dada leo mbona mapema 🥺Usiku mwema wana selfika!!😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utatupiwa zongo la kimeru kijana ukeshe ukihangaika
Acha uoga wakt mnakaribia kufunga shuleHhahahahaaa!! Ndiomana Nalala mapemaa mamdo!