AbeeDepal…
Amen.Morning mkuu
Barikiwa sana.
Sawa mkuu uwe na jumapili njema!!Amen.
Ngoja tukamwabudu Mungu.
Asante sana boss lady, jumapili njema kwako.Sawa mkuu uwe na jumapili njema!!
🙏Asante sana boss lady, jumapili njema kwako.
Wengine ni maumbile tu jamani,,vinajichosha sana,vinatumika sana kitoto cha miaka 19 utasema kinamiaka 39
Hujambo jirani...wengine maumbile yao yanawatanguliaWengine ni maumbile tu jamani,,
Kuna uzi humu jana nimesoma, baba mtu kaja kutafuta ushauri binti yake wa miaka 12 ana maziwa yameshakuwa saa 9 jioni. Akamtuma mama na shangazi wa mtoto wafatilie kama mtoto ameshaanza hiyo michezo… majibu yamerudi mtoto hajaanza…
Sasa kaja omba ushauri amsaidie vp binti yake maana mtoto ana ziwa balaa.
🤣🤣Wanajua sema wanajitoa ufahamu.. na ulimwenguu huu wa uber ukakae unashoboka kisa aliyekuja ku approach kaja na LC LX?
Ni ukichaaa 🤣🤣
Usicheke jirani… wanaume mmesha tugroup vibaya sana!
Tunajua sio wote..ni mazoea tu..Usicheke jirani… wanaume mmesha tugroup vibaya sana!
Hakika jirani…Hujambo jirani...wengine maumbile yao yanawatangulia
Sasa si muache kuishi kwa mazoea.. mnatukosea sana sisi mashangazi 😅Tunajua sio wote..ni mazoea tu..
Hilo ni jambo la sehemu kubwa ya jamii..inahitajika ufahamu mkubwa uelezwe.Sasa si muache kuishi kwa mazoea.. mnatukosea sana sisi mashangazi 😅
Good morning madameGood morning selfika!!

Morning Sweetbebee!!Good morning madame![]()
Salaam jirani!Salam kwenu wadau