Upo mkuu?
Usionfoke leo ni bandika bandua
Upo mkuu?
Kote kote
🤣🤣🤣 amekolea..Hiyo kitu unayokunywa/vuta imetosha sasa urudi home ukalale😂
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] sawaaah shouzzz.Usiwaze shos akee!!
Ewaaa💕💕To the fullest mamdo!😉
Can't wait brooUpo mkuu?
Usionfoke leo ni bandika bandua
Shougaaaaah ndo nn kunirusha roho hivi? Nasibiri zawadi na chakula hicho funga take away niletee, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Usiwaze kabisa shos akee mie teinaaaaaaaaaa [emoji1732][emoji8]
Ebu njoo tule kwanza!!
Apokonywe kinywaji huyo mtu🤣🤣🤣 amekolea..
😂😂😂😂😂 ataamshwa saa 8 za usiku akatafute juice ya miwa.Hiyo kitu unayokunywa/vuta imetosha sasa urudi home ukalale😂
Ipi hiyooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni michezo yako [emoji23][emoji23]
Jiraniiii...😂😂😂😂😂 ataamshwa saa 8 za usiku akatafute juice ya miwa.
Saa 9 nataka uji wa mchele
Ajipange 😂
Mnooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha anachekesha eh??. Ila Ile ajira Iko Bomba.
Abee jiraniJiraniiii...
Mwenyewe nilikuwa nanyatia mrbo portable mweee...sii nikaambiwa kuna mshomile fulani anagegeda hivi kiuno. Tena jamaa anatuma nauli lako🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani imekuaje?🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 ataamshwa saa 8 za usiku akatafute juice ya miwa.
Saa 9 nataka uji wa mchele
Ajipange 😂
Leo umewaka au..Abee jirani
Stic km stic [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Coca kama coca
Hapo sasa...Kwani imekuaje?🤣🤣🤣
Hizi habari za kibendi