Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,881
Waangalie ndege angani.. wanajenga nyumba kwanza ndio wanatafuta watoto…Hahah mpaka unambeba Jr, jua nimekuheshimisha mno [emoji16][emoji16]
Sijui nataka kusema nini 😂
Waangalie ndege angani.. wanajenga nyumba kwanza ndio wanatafuta watoto…Hahah mpaka unambeba Jr, jua nimekuheshimisha mno [emoji16][emoji16]
Na bado nakutumia na clip za penat PM kwako😂😂Nimesononeka ghafla 😂😂
Sijui imekuwaje nimefika kwenye marudio ya FA cup
Aaarghhhh
Nisusu, nilale!
Good night y’all
Umeandika kama utani[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ataamshwa saa 8 za usiku akatafute juice ya miwa.
Saa 9 nataka uji wa mchele
Ajipange [emoji23]
Oooohhhhppppssa nimekumbka mbali mnooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fav all the time..View attachment 2279492
[emoji1787]Mwenyewe nilikuwa nanyatia mrbo portable mweee...sii nikaambiwa kuna mshomile fulani anagegeda hivi kiuno. Tena jamaa anatuma nauli lako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aunt mic uOooohhhhppppssa nimekumbka mbali mnooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsanteeeeh, lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaaahKumbe we dume mkuu. nafikirigi tunaochat chat hapa ni wadada
Niache basi nitalia sana 😂😂😂Na bado nakutumia na clip za penat PM kwako😂😂
Jirani naangalia penalties za FA cup…Jirani...vipi tena
Hadi kufika tumboni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weeee
Hamna tumbo la majaribio
Kumekuchaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]To the fullest mamdo![emoji6]
Wakati anaku approach na eet sum more 🤣Oooohhhhppppssa nimekumbka mbali mnooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsanteeeeh, lol
Sizitaki vocha mie, hujui JF watu wanasema mie nahongwa vocha za buku, tena nazikimbilia balaa, mniache na umaskini wangu,@cicastic shogangu uko Wapi kwani unapitwa Vocha hukuu!!
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌Sizitaki vocha mie, hujui JF watu wanasema mie nahongwa vocha za buku, tena nazikimbilia balaa, mniache na umaskini wangu,
Sitakiiiiiiiiiiiiiiiih.
Shangazi mic u mnooooo. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Aunt mic u
Anatoka zake huko ananiletea shule, ananibebea km 20 hivi, ananibebea mikate, jojo box zima pipi ivory mfuko mzima, soda za lita 1 chupa 5,Wakati anaku approach na eet sum more [emoji1787]
Weee kumbe!! Jf hujawazoea tu shos angu!!!Sizitaki vocha mie, hujui JF watu wanasema mie nahongwa vocha za buku, tena nazikimbilia balaa, mniache na umaskini wangu,
Sitakiiiiiiiiiiiiiiiih.