naa
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 1,780
- 3,831
Asante mwayaMremboooooh,
Kucha nimezipenda wallah.

Asante mwayaMremboooooh,
Kucha nimezipenda wallah.

Kheee 😂😂😂He he he he hiyo series ya Endless love acha kbs. Huyo kwangu chul ni mzuriiiiiii huchoki kumtazama. Halafu series zake zote zimekwenda shule. Amecheza pia kwenye "jamyong go". "I'm sorry, I love you" ... Nenda ss kwenye "man to man".Mimi mwenyewe km sio handsome halafu hujui kupigana siangalia. Tafuta "Goodbye Mr Black". Nouma nayo, mkaka mtamu yuleee.
He he he he hiyo series ya Endless love acha kbs. Huyo kwangu chul ni mzuriiiiiii huchoki kumtazama. Halafu series zake zote zimekwenda shule. Amecheza pia kwenye "jamyong go". "I'm sorry, I love you" ... Nenda ss kwenye "man to man".Mimi mwenyewe km sio handsome halafu hujui kupigana siangalia. Tafuta "Goodbye Mr Black". Nouma nayo, mkaka mtamu yuleee.






hivi unajua Endless love naipenda ile aliyotafsiri DJ MUPPHY? 






Acha kujitetea 🤣🤣🤣🤣hivi unajua Endless love naipenda ile aliyotafsiri DJ MUPPHY?
huwa nacheka hadi nalia machozi, yaan amejua kuitendea haki kabisaa. Sipendi zilizotafsiriwa kwa kiswahili ila hii ya DJ mupphy ni kiboko.
![]()
Sijaona picha eti
Kheee![]()


siangalii bila kuwa mtamu... Tasnia ya movie,,, za kihindi ndiyo zilishanishindaga. Hata unifanyeje siangalii movie za wahindi, lbd ziwe single movie nitajitahidi. Lakini za kizungu weee nimooo maseries km yote.hivi unajua Endless love naipenda ile aliyotafsiri DJ MUPPHY?
huwa nacheka hadi nalia machozi, yaan amejua kuitendea haki kabisaa. Sipendi zilizotafsiriwa kwa kiswahili ila hii ya DJ mupphy ni kiboko.
![]()

hapo kutafsiriwa ndiyo mtihani. Huwa siangaliagi hizo. Hazinipi stim.Acha kujitetea![]()





ktk series zote nazotazama iliyotafsiriwa kwa kiswahili ni hii tyuuh, nenda kaicheki uone, mie nlishatazama enyewe OG, 






Naingalia kucheka tyuuh, coz yenyewe OG nshaitazama sana na ipo.hapo kutafsiriwa ndiyo mtihani. Huwa siangaliagi hizo. Hazinipi stim.
Salama kabisa madamSina mpya mr vocha!! Habari za weekend!✋
Wapi huko madamJamani
Hata mood ya kutoka imeisha🙌🙌
Sio Kwa baridi na mvua hii!
Usiwaze shos akee!!Shougaaa angu nipooooo, mic u
, nasubiri zawadi ya jana hapa.
Itakuwa kafuta 😅 ila ni typo za kuumiza machoSijaona picha eti
Yani unamsifia mkaka mtamu kwenye movie kama ni mpenzi wangu tumeshaachana Muda x wangu tu alimsifia mkorea fulan eti ana kifua kizur nikijiangalia mm mbavu 2 toka siku hyo sikutaka mazoea nayoHe he he he hiyo series ya Endless love acha kbs. Huyo kwangu chul ni mzuriiiiiii huchoki kumtazama. Halafu series zake zote zimekwenda shule. Amecheza pia kwenye "jamyong go". "I'm sorry, I love you" ... Nenda ss kwenye "man to man".Mimi mwenyewe km sio handsome halafu hujui kupigana siangalia. Tafuta "Goodbye Mr Black". Nouma nayo, mkaka mtamu yuleee.
Usiwaze kabisa shos akee mie teinaaaaaaaaaa 🤸😘Shougaaa angu nipooooo, mic u
, nasubiri zawadi ya jana hapa.
Ni michezo yako 😂😂ktk series zote nazotazama iliyotafsiriwa kwa kiswahili ni hii tyuuh, nenda kaicheki uone, mie nlishatazama enyewe OG,
Hii ya Dj Mupphy kupoteza muda tyuuh, aaah wee ile kaua bhana,
![]()
Msalimie anayevaa miwanUsiwaze kabisa shos akee mie teinaaaaaaaaaa
Ebu njoo tule kwanza!!
😂😂😂Itakuwa kafuta 😅 ila ni typo za kuumiza macho
😂😂😂 wanaume mna vioja sanaYani unamsifia mkaka mtamu kwenye movie kama ni mpenzi wangu tumeshaachana Muda x wangu tu alimsifia mkorea fulan eti ana kifua kizur nikijiangalia mm mbavu 2 toka siku hyo sikutaka mazoea nayo
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app