Nitumie mimi mjukuu. Nitakuandikia recommendation letter nzuri sana. Nitasema mpaka unavyoporomosha matusi mtu akiingia kwenye anga zako; na kwamba hata wakiwa mia lazima utawasambaratisha tu. Hii ni quality nzuri kwenye organization zenye hekaheka
Afu babuuuh kuna mchongo m1 nimeupata, jinsi ya kuvukia huko mambelee. Sema siamini sana. Nilihitaji ufafanuzi kutoka kwako.
Sema naogopa km ntakukwaza au kukuvunjia heshima.
Sina heshima ya kuvunjiwa mimi mitandaoni humu maana sina mtu anayenifahamu personally; na nipo kujifurahisha tu. Kama ni ishu genuine njoo tu mjukuu wala usiogope.