English ni tatizo. Nimekumbuka kitu na nimecheka bure.
Kuna mtu natakiwa kumjazi hayo hayo makaratasi yake ameomba kufanya masters mahala. Uzuri deadlin bado ya kutuma hizo barua zao. Yeye anae soma masters nikamuambia ijaze alafu mie kama cha kuongezea kipo utaniambia niitume, anasema english yake sio nzuri kama yangu, mie mwenyewe anae niambia nina ahueni ,,
nimeikimbia kwasababu hizo hizo.. Ila tutafika japo sio haraka