Site nyingi sana ni PHP.. issue kubwa ni namna gani una secure kazi yako. Ujue kwanini inaoneka easy to hack ? watu wengi sana wamesoma PHP, tools nyingi sana za hacking zili lenga PHP maana ndio site nyingi, kwaiyo inakuwa kama rahisi vile kwasababu resources zipo za kutosha, ila mtu akiisuka PHP ipasavyo hutoboi.. kirahisi rahisi