Aah well, I was inspired by ‘Hanna Montana TV show’ na sticker za kubandika kwa madaftari 😃😃😃Poa tu, why Montanna? yani kwa nini umejiita Montanna? sorry for asking!
Si ndio inapendeza
Hahaha,😄😄😄 JS tamu sana, inaonekanaga kama nyepesi hivi.. ila badae inaanzaga kuleta picha picha na newbie wengi walala mbele.. nikiwa mmoja wapo.. nikajikita kutumia framework ya angularjs plus bootstraps
function showMessage() { let message = "Inabidi uanze kumpa pindi, Depal !";
alert( message ); }
showMessage();
alert( message );
Hahaa, naona hapo ume call function,,😄😄😄 JS tamu sana, inaonekanaga kama nyepesi hivi.. ila badae inaanzaga kuleta picha picha na newbie wengi walala mbele.. nikiwa mmoja wapo.. nikajikita kutumia framework ya angularjs plus bootstraps
function showMessage() { let message = "Inabidi uanze kumpa pindi, Depal !";
alert( message ); }
showMessage();
alert( message );
😘😘✌️✌️✌️✌️✌️✌️Shangazi yake mtu
Nimeona hata mimi
Umechelewa mjombaaa!!! leo mapema sana Niliweka !!Mkuu unatuachaje achaje 🙂🙂
Nipo 230 Km
Hapana
Karibu sana Msukuma!!!Nipo 230 Km
😅😅😅 aah wapi majanga tuNimeona hata mimi
😍 Sikujua kama Montanna inamaanisha mlima, ni kwa lugha ipi?Aah well, I was inspired by ‘Hanna Montana TV show’ na sticker za kubandika kwa madaftari 😃😃😃
ningependa nijiite Hanna ila ndo hivo nimeitwa Sikujua na wazazi nikaona nibebe tu surname ‘Montanna’ Btw Montana inamaanisha mlima.
Nipitie basi mida midaTwende disco 🙂🙂🙂
View attachment 2277290
TV show ya watoto 😅😅😅 na wewe unaangaliaga channel ya ‘Nickeledeon’? ni show ya kitambo kidogo😍 Sikujua kama Montanna inamaanisha mlima, ni kwa lugha ipi?
Ila inataka ku sound kama mountain,
Mie nilikuwa namfahamu Montanna na ndugu zake waliojulikana kama Country Boys, tafuta movie inaitwa American Gangster amecheza Denzel.
Safi sana, nitaitafuta hio TV show.